1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari: Asubuhi 03.12.2021

3 Desemba 2021

Viongozi wa Ujerumani waidhinisha vidhibiti vipya vya COVID kwa watu ambao hawajachanjwa. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ahimiza kuzingatiwa umoja katika kulikabili swala la wahamiaji. Marekani yaionya Urusi endapo itaivamia Ukraine

https://p.dw.com/p/43lqm