1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 03.11.2017

3 Novemba 2017

Uhispania yatoa waranti wa kukamatwa kwa aliyekuwa kiongozi wa jimbo la Catalonia. Majeshi ya serikali ya Syria yateka ngome muhimu ya magaidi wanaojiita Dola la Kiislamu IS. Rais wa Ujerumani Frank- Walter Steinmeier aanza ziara ya kiserikali nchini Australia.

https://p.dw.com/p/2mwgN