1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Srebrenica

Srebrenica ni mji ulioko Bosnia na Herzegovina. Ndiyo ulikuwa mahala pa mauaji ya maelfu ya Wabosniak yaliofanywa mwaka 1995 na wanajeshi wa Serbia wakiongozwa na Ratko Miladic.

Srebrenica unakutikana katika mkoa wa Republika Srpska nchini Bosnia na Herzegovina. Wakati wa vita vya Bosnia, zaidi ya Waislamu Wabosniak 8,000 kutoka mjini humo waliuawa Julai 1995.Tukio hilo lilitajwa kuwa uhalifu wa kivita, na wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Uholanzi walilaumiwa kwa kushindwa kuzuwia uhalifu huo. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu Srebrenica.

Onesha makala zaidi