Siku nne za kuubadilisha ulimwengu | Mada zote | DW | 21.01.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Siku nne za kuubadilisha ulimwengu

"Muktadha Mpya Ulimwenguni" ni kauli mbiu ya Kongamano la 45 la Kimataifa la Kibiashara la Davos linalofanyika Januari 21- 24. Miongoni mwa washiriki 2,500 watakokutana Uswis, kunakuwepo wakuu wa matafa zaidi ya 40.