1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za Kenya zaelekea wapi?

7 Juni 2018

katika Kinagaubaga tunazumgumza na mwanasiasa wa Kenya na seneta Isaac Mwaura kufahamu mengi juu ya yale yanayoendelea katika siasa za kenya na tetesi za kuanza kwa mbio za urais 2022. Ungana naye Sudi Mnette kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/2z4uZ