Shule Ya Solai Yafungua Tena Baada Ya Mafuriko | Media Center | DW | 22.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Shule Ya Solai Yafungua Tena Baada Ya Mafuriko

Shule ya msingi ya Nyakinyua, Solai, kaunti ya Nakuru nchini Kenya imefungua tena baada ya kufungwa kutokana na mafuriko yaliosababishwa na kupasuka kwa kuta za bwawa la Solai na kupelekea vifo vya watu 47 wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo. Wakio Mbogho ametemebelea shuleni hapo kujionea hali na hii hapa ni ripoti yake.

Tazama vidio 02:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)