1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shida ya maji inavyoendelea kuwaumiza wanawake

Lilian Mtono
11 Oktoba 2019

Changamoto za ukosefu wa maji imekuwa ikiwaelema sana wanawake hasa huko barani Afrika. Wanawake hulazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta maji kwa ajili ya familia zao. Hali hii hadi lini? Sikiliza makala haya ya wanawake na maendeleo.

https://p.dw.com/p/3R7uB