1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shambulizi la Taliban lauwa watu 14 Kabul

7 Agosti 2019

Bomu la kutegwa ndani ya gari limeripuka katika kituo cha polisi cha mji mkuu wa Afghanistan Kabul, na kuwauwa watu 14. Shambulizili hilo la Taliban limewajeruhi watu 145, wengi wao wakiwa raia.

https://p.dw.com/p/3NVlm