1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali na TPLF watunishiana misuli Ethiopia

2 Desemba 2021

Kuna taarifa zinazokinzana kuhusu hali kwenye uwanja wa vita baina ya majeshi ya Ethiopia na wapiganaji wa kundi la TPLF; wakati serikali ikisema imeikomboa miji kadhaa ambayo ilitekwa na TPLF, kundi hilo kwa upande mwingine limesema limejiondoa katika miji hiyo kimkakati. Daniel Gakuba na Agina Ojwang, mwanasheria na mchambuzi wa masuala ya upembe wa Afrika akiwa Nairobi, wamelijadili hili.

https://p.dw.com/p/43kY8