1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali mpya iliyotangazwa DRC yazusha maoni mseto

Mitima Delachance 24 Machi 2023

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumetangazwa serikali mpya usiku wa kuamkia leo, hatua iliyozusha mgongano wa maoni miongoni mwa raia upande wa mashariki, hasa kuhusu Jean-Pierre Bemba aliyetajwa kuwa naibu waziri mkuu mwenye dhamana ya usalama wa kitaifa na Vital Kamerhe. Wanasiasa hao wawili walitarajiwa kuwa wagombea urais kwenye uchaguzi unaopangwa mnamo Desemba mwaka huu.

https://p.dw.com/p/4PApp