1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Programu inayosaidia wasioona kutumia mitandao

2 Aprili 2024

Wakati mitandao ya kijamii inapozidi kuchukuwa nafasi ya mawasiliano ya kawaida na hata yaliyo rasmi, wenye ulemavu wa macho walikuwa wanajikuta kutengwa kango, lakini sasa programu maalum za kuwasaidia kutumia majukwaa hayo zimeanza kufanya kazi.

https://p.dw.com/p/4eMZY