1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sauti ya Kizazi Kipya na Shangazi Masika

19 Mei 2016

Vijana wa Kilifi katika mwambao wa pwani nchini Kenya wameamua kuwa wabunifu kuulinda utamaduni wa kabila la Wagiryama.

https://p.dw.com/p/1Iqjb
Kenia Constance Masika Beja
Constance Constance Masika Beja "Shangazi Masika" Kiongozi wa kundi la Sauti ya Kizazi Kipya, Kilifi, KenyaPicha: DW/E. Ponda

Jiunge na Eric Ponda ujifunze mengi zaidi kuhusu vijana hawa.