1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saratani ya tezi dume bado ni changamoto kwa wanaume

29 Oktoba 2019

Ugonjwa wa Saratani bado ni tatizo kubwa duniani kote kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo kwa wanaume. Lakini katika nchi za Afrika wanaume wengi wanaogopa kwenda kupima afya zao. Basi katika kuangazia hilo na mengine ya kitaalamu ungana Salma Said katika makala ya Afya yako

https://p.dw.com/p/3S8VB