Sakata la biashara haramu ya watoto Uhispania | Media Center | DW | 28.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sakata la biashara haramu ya watoto Uhispania

Nchini Uhispania kashfa ya biashara haramu ya watoto imezidi kuchukua kasi katika kipindi hiki ambapo tayari kuna kesi mahakamano ambayo inaangaziwa sana na vyombo vya habari. Zaidi kuhusu taharuki hiyo tazama vidio ifuatayo.

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)