Safari Rally yatifua vumbi tena Kenya | Media Center | DW | 24.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Safari Rally yatifua vumbi tena Kenya

Kwa mara ya kwanza baada ya kutofanyika kwa miaka 19 mashindano ya mbio za magari maarufu Safari Rally yamerejea tena nchini Kenya. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

Sikiliza sauti 02:37