Roboti Wanaowahudumia Wateja Kwa Ustadi Mkubwa Mjini Kathmandu Nepal
Naulo ni hoteli ya kwanza iliyoanzisha huduma za kidijitali mjini Kathmandu Nepal, kwa kutumia roboti kuwahudumia wateja. Roboti hao wana uwezo mkubwa wa kuwasiliana wao kwa waso na kutambua matamshi ya wateja wao na hata bidhaa.
Tazama vidio01:09
Shirikisha wengine
Roboti Wanaowahudumia Wateja Kwa Ustadi Mkubwa Mjini Kathmandu Nepal