Rigobert Song apelekwa hospitali katika hali mahtuti | Anza | DW | 03.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Rigobert Song apelekwa hospitali katika hali mahtuti

Mwanasoka nyota wa Cameroun Rigobert Song ni mahtuti baada ya kupata kiharusi, Wengi wapoteza maisha katika mkanyagano nchini Ethiopia, Hungary wapiga kura kupinga mpango wa Ulaya kuhusu wakimbizi, Colombia nako mpango wa amani wakataliwa katika kura ya maoni.

Tazama vidio 01:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)