Rais Nkurunziza aapishwa leo | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 26.08.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Rais Nkurunziza aapishwa leo

Nchini Burundi,Rais Pierre Nkurunziza anaapishwa rasmi hii leo mjini Bujumbura kwa muhula wa pili wa uongozi.

default

Rais Pierre Nkurunziza

Hatua hii inafanyika baada ya uchaguzi wa marais kufanyika mwezi wa Juni.Itakumbukwa kuwa wanasiasa wa upinzani waliususia uchaguzi huo war ais kwa madai kwamba vitendo vya udanganyifu na hila vilikuwa tayari vimeshaandaliwa.

Burundi Bujumbura Wahlen Präsidentschaftswahlen Flash-Galerie

Mpiga kura wakati wa uchaguzi wa rais wa mwezi Juni.Upinzani uliususia uchaguzi huo

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com