Rais Kikwete amteua Mwana-CUF kama mbunge | Matukio ya Kisiasa | DW | 11.02.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais Kikwete amteua Mwana-CUF kama mbunge

Rais Kikwete wa Tanzania amteua msaidizi wa Katibu Mkuu wa CUF kuwa mbunge.

default

Rais Kikwete wa Tanzania

Bwana Ismail Jussa wa chama cha wananchi CUF, anaapishwa kesho kuwa mbunge katika bunge la muungano wa Tanzania, kufuatia hatua ya Rais wa nchi hiyo, mheshimwa Jakaya Kikwete kumteua. Josephat Charo amezungumza na Bwana Hamad Rashid, kiongozi wa upinzani katika bunge la muungano wa Tanzania, kuhusu uteuzi wa Bwana Jussa na kwanza kumuuliza ameupokea vipi uteuzi huo.

Mwandishi: Josephat Charo Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com