1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa DRC waandamana kupinga rushwa

Saleh Mwanamilongo (HON)21 Oktoba 2019

Mamia ya raia wa Kinshasa, DRC waliandamana leo kupinga rushwa na kutaka vyombo vya kisheria kufanya kazi kama kawaida. Maandamano hayo yalioitishwa na kamati ya waumini wa Kikatoliki CLC.

https://p.dw.com/p/3RfKq