Punguzo la mshahara lafanya polisi waache kazi | Matukio ya Afrika | DW | 19.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kenya

Punguzo la mshahara lafanya polisi waache kazi

Vyombo vya habari Kenya vinaripoti kuwa baadhi ya maafisa wa polisi wenye shahada ya chuo kikuu wamechukua hatua hiyo baada ya Kamishina mkuu wa jeshi la polisi kutekeleza maelekezo ya tume ya utumishi ndani ya jeshi.

Sikiliza sauti 02:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Mwenda Njoka

Lengo ni kupunguza mishahara ya maafisa wa jeshi hilo weneye shahada ili ilingane na maafisa wasio na shahada. DW imezungumza na Mwenda Njoka, msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini humo kupata ufafanuzi juu ya hatua hiyo ya kupunguza mishahara.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com