1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Tanzania yaanzisha msako dhidi ya "Panya Road"

Sudi Mnette4 Mei 2022

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam linafanya msako mkali wa kundi la vijana wa umri wa kati ya miaka 13 hadi 20 linalojulikana kama Panya Road, na ambalo linajihusisha na uhalifu wa kupora na kujeruhi watu katika maeneo tofauti ya jiji hilo. Sudi Mnette amezungumza na kamanda wa polisi Afande Jumanne Muliro.

https://p.dw.com/p/4AoN7