Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni | Mada zote | DW | 30.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni

Sheria inayopiga marufuku mifuko ya plastiki nchini Kenya imeanza kutekelezwa. Katika eneo kubwa la kutupa taka nchini humo, unaweza kuona jinsi takataka za plastiki zinaweza kuingia katika vyakula vinavyouzwa.