Papo kwa Papo 10.06.2016 | Anza | DW | 10.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Papo kwa Papo 10.06.2016

Rais Obama amuunga mkono Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic. Ufaransa na Romania zafungua Dimba la soka la UEFA 2016 linaloandaliwa Ufaransa. Mkuu wa mashtaka Afrika Kusini ataka rais Zuma kuchunguzwa.

Tazama vidio 01:43