1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pamoja na kuchimba dhahabu, umasikini bado umewaganda.

Lilian Mtono
15 Oktoba 2019

Licha ya juhudi zao za kupambana na hali ya umasikini kwa kuchimba madini yenye thamani kubwa ya dhahabu katika kaunti ya Migori huko nchini Kenya lakini shombo la umasikini limeendelea kufuatilia kizazi hata kizazi pamoja na kufanya kazi hiyo ngumu. Ni kwa nini yameshindwa kuwakwamua? Sikiliza makala haya ya Mbiu ya mnyonge.

https://p.dw.com/p/3RIsR