1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nyama ya punda yazuiwa Kenya

Wakio (HON)25 Februari 2020

Maelfu ya wakulima wanaofuga punda nchini Kenya wameelezea afueni kufuatia marufuku iliyotangazwa na waziri wa kilimo wa nchi hiyo dhidi ya machinjio ya punda nchini kote Kenya. Mashirika ya kutetea haki za wafugaji hao, wanaeleza kuwa kinyume na dhana kwamba hatua hiyo itaathiri uchumi wa taifa, sasa sekta hiyo itaweza kuimarika. Mwandishi wetu Wakio Mbogho kutoka Nakuru anaarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/3YPDg