1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni mtindo gani wa asili wa nywele unakuvutia?

24 Januari 2024

Mitindo ya nywele ya kiafrika imedunishwa kwa muda mrefu ikionekana kama isiyo ya kupendeza na hivyo kuwalazimu wanawake kupendelea kuvaa mawigi. Msanii huyu wa Nigeria Robert Oniha ameamua kuitambulisha upya mitindo hiyo kupitia Sanaa.

https://p.dw.com/p/4bbDY