NEW YORK: Mwanariadha akiri kuchukua dawa kuongeza nguvu | Habari za Ulimwengu | DW | 06.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK: Mwanariadha akiri kuchukua dawa kuongeza nguvu

Mwanariadha Marion Jones wa Marekani amekiri kuchukua dawa za kuongeza nguvu.Baada ya kukiri mahakamani mjini New York,mwanariadha huyo aliomba msamaha kwa umma.Katika michezo ya Olimpik ya mwaka 2000 mjini Sydney,Jones alishinda medali tatu za dhahabu na mbili za bronzi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com