Nani sasa ataelekea nusu fainali AFCON? | Media Center | DW | 27.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Nani sasa ataelekea nusu fainali AFCON?

Mashindano ya Kombe la Mataifa Barani Afrika yamefikia robo fainali baada ya michuano ya raundi ya 16 bora kukamilika Jumatano huku Misri wakiwabandua Ivory Coast kwa mikwaju ya penalti nayo Guinea ya Ikweta ikawashangaza Mali kwa njia hiyo hiyo ya penalti. Jacob Safari amezungumza na mchambuzi wa kandanda na mwandishi wa zamani wa DW Sekione Kitojo.