1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nakuru: Jamii ya Waislamu dhidi ya ukeketaji

Wakio Mbogho18 Desemba 2018

Jamii ya Waislamu imejitokeza kupinga ukeketji wa wanawake na wasichana huku ikibainika kuwa jamii za Somali, Samburu, Kisii na Maasai nchini Kenya zinaongoza kwa visa vya ukeketaji. Baraza la maImam pamoja na viongozi wengine wanasema ukeketaji unalirejesha taifa nyuma kwa kufuta mafanikio na juhudi za kitaifa za kuimarisha haki za kibinadamu.

https://p.dw.com/p/3AL5W