Mwekezaji amejizatiti kuwapa ajira watu wenye virusi vya Ukimwi | Afrika yasonga mbele | DW | 08.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Afrika yasonga mbele

Mwekezaji amejizatiti kuwapa ajira watu wenye virusi vya Ukimwi

Idadi kubwa ya wafanyakazi wa bibi huyo mwenye kiwanda cha kutengeneza uyoga mjini Kigali, nchini Rwanda, ni wanawake. Na wengi wa wanawake hao wanaishi na virusi vya Ukimwi.

Sikiliza sauti 09:46

Mwekezaji mwanamke nchini Rwanda amejizatiti kuwapa ajira watu wenye virusi vya Ukimwi

Kusikiliza makala ya Wanawake na Maendeleo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com