1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwarobaini wa gharama kubwa za matibabu Kenya

11 Desemba 2023

Gharama kubwa za kulazwa hospitalini nchini Kenya zinaweza kusababisha wagonjwa wengi kutumbukia katika madeni. Lakini watoa huduma nchini humo wanajitahidi kuokoa gharama za matibabu kwa kuwafata wagonjwa majumbani na kutoa huduma za matibabu.

https://p.dw.com/p/4a0M6