Barani Afrika, waandishi wa habari za uchunguzi wanafanya kazi kwenye mazingira yaliyotayarishwa kuwanyamazisha, lakini John-Allan Namu anapambana na mfumo huo nchini Kenya, moja ya mataifa yanayosifika kwa kiwango kikubwa kabisa cha ufisadi duniani.