1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke anayebadilisha dhana kuhusu urubani

John Juma
3 Mei 2018

Kubadilisha dhana na kupiga hatua zaidi nchini Kenya. Tunamuangaziwa mwanamke ambaye tokea akiwa mtoto, alijua vyema kuwa angekuwa rubani. Leah Kihara mwenye umri wa miaka 35 amekuwa angani akiendesha ndege kwa zaidi ya saa 4,000, kazi anayoifurahia.

https://p.dw.com/p/2x7kR