Muziki na densi aina ya Kuduru nchini Angola | Media Center | DW | 15.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Muziki na densi aina ya Kuduru nchini Angola

Mtaa mkubwa wa mabanda ulioko viungani mwa mji mkuu wa Angola Luanda-Sambizanga, ndio kitovu cha muziki maarufu wa Kuduru. Muziki huu ambao ni wa kipekee hata kwenye densi ni muhimu kwa wakaazi 300,000 wa mtaa huo. Je muziki wa Kuduru umewanufaisha vijana vipi mjini Luanda? Jibu na mengi zaidi ni kwenye vidio Vijana Mubashara 77Asiimia. Nawe tueleze muziki maarufu katika mtaa wako na umuhimu wake.

Tazama vidio 04:38