Muuguzi awasaidia wanawake wa Ethiopia waliorudi nyumbani | Mada zote | DW | 31.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Muuguzi awasaidia wanawake wa Ethiopia waliorudi nyumbani

Muuguzi mahiri Abay Kassahun amejitolea katika kazi yake kuwasaidia wanawake waliokabiliwa na mateso katika nchi za kigeni walikokwenda kutafuta maisha mazuri. Mbali na msaada wa kisaikolojia, wengine wanahitaji ushauri wa afya. Hata huwatembelea wateja wake nyumbani kwao. Kazi yake imempa jina la utani:Muuguzi mtembezi.

Tazama vidio 01:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)