Mustakabali wa Ulaya wajadiliwa Brussels | Media Center | DW | 23.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mustakabali wa Ulaya wajadiliwa Brussels

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekamilisha mkutano wa kilele mjini Brussles kwa kudai haki zaidi kwa raia wa umoja huo wanaoishi Uingereza, Rais Trump asema hajawahi kurekodi mawasiliano yake na mkuu wa zamani wa FBI na Alexis Sanchez aweka historia katika dimba la Kombe la Mabara

Tazama vidio 02:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)