Mukwege arejeshewa ulinzi na Umoja wa Mataifa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mukwege arejeshewa ulinzi na Umoja wa Mataifa

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Dk. Dennis Mukwege, amerejeshewa ulinzi na vikosi vya usalama vya Umoja wa Mataifa kufuatia vitisho dhidi ya maisha yake.

Tazama vidio 01:50