1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana anayewasaidia watoto wenye usonji

12 Septemba 2025

Caroline Kennedy amejiweka katika mstari wa mbele kusaidia watoto wenye usonji akionekana kama mtetezi wa kundi hilo lililosahaulika. Kujitoa kwake kwa jamii hakutazamwi tu kama juhudi binafsi, bali kama mchango mkubwa wa kijamii unaoleta mwanga kwa changamoto zinazowakumba watoto wenye usonji.

https://p.dw.com/p/50PUf