1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msanii asiyeona, Mohammed Maro

31 Oktoba 2022

Kutana na Mohammed Maro, msanii kutoka Kilifi Kenya. Licha ya ulemavu wake wa kutoona, anatumia vipaji vyake kujinufaisha na wengine pia. Anaimba, anacheza kinanda na anaweza kuiga sauti za watu mbalimbali. #Kurunzi inamulika vipaji vyake.

https://p.dw.com/p/4IsYi