1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko wa malaria waathiri watu 1000 Baringo Kenya

Michael Kwena31 Januari 2020

Makala ya Afya Yako safari hii inaangazia mripuko wa ugonjwa wa Malaria kaunti ya Baringo nchini Kenya. Takriban watu 1,000 wameathiriwa na mripuko huo wa sasa ambao unadaiwa kusababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika majimbo la Marsabit na Baringo, Msimulizi wako ni Michael Kwena.

https://p.dw.com/p/3X4dg