1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa maji unaowanufaisha wanawake Kenya

Saumu Athuman Njama MMT10 Januari 2020

Wanawake na wasichana nchini kenya ni miongoni mwa wengine barani Afrika ambao wanapitia changamoto kubwa ya kusafiri masafa marefu kutafuta maji kwa matumizi ya kila siku ya nyumbani. Katika kipindi cha wanawake na maendeleo, leo tunaangazia mradi ujulikanao kama Tosheka Rolling Springs unaolenga kuwaondolea wanawake nchini Kenya udhia wa kubeba maji. Msimulizi ni Saumu Njama

https://p.dw.com/p/3W03m