Mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kunadhifisha miji | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kunadhifisha miji

Idadi kubwa ya watu barani Afrika, imechangia uchafuzi wa Mazingira kutokana na utupaji wa taka kiholela mijini na hata vijiijini. Lakini nchini Kenya, yapo matumaini kuwa hali hiyo itabadilika. Hii ni kutokana na hatua ya serikali ya Kenya kutangaza mpango uitwao KAZI MTAANI, wa ajira kwa vijana kunadhifisha mazingira ya miji. Mengi zaidi na Michael Kwena kwenye makala ya Mtu na Mazingira.

Sikiliza sauti 09:46