JamiiMilingoti inayotengezwa kutoka kwa taka za Plastiki zaiokoa misitu KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii23.03.201623 Machi 2016Lorna Rutto aliacha kazi ya benki kuanzisha kampuni ya Ecopost mwaka 2009 mjini Nairobi. Kampuni hiyo inatumia takriban tani 20 ya taka za Plastiki kila mwezi kutengeza milingotihttps://p.dw.com/p/1IIF3Matangazo