1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michael Ballack

Michael Ballack ni nahodha wa zamani wa timu ya kandanda ya taifa ya Ujerumani, na ni mmoja wa wachezaji maarufu Ujerumani. Ballack alikuwa ni mfungaji magoli mzuri na pia kiungo bora wa kati wa ligi ya Bundesliga.

Ballack alijiunga na timu ya taifa ya Ujerumani mwaka 1999 na kuteuliwa kuwa nahodha mwaka 2004. Alicheza pia katika ligi ya mabingwa Ulaya UEFA mwaka 2000, 2004 pamoja na 2008. Halikadhalika alicheza katika kombe la dunia mwaka 2002 na 2006. Michael Ballack alistaafu uchezaji kandanda mwaka 2012.

Onesha makala zaidi