1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 12, familia inamtaza

Lilian Mtono
9 Machi 2020

Anategemea shughuli ya kuokota takataka ili kupata kipato cha kumsaidia mama yake anayeishi na Virusi vya Ukimwi, ambavyo vimemdhoofisha mno. Mengi zaidi kwenye video hii. #Kurunzi: 09.03.2020

https://p.dw.com/p/3Z6kE