1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa Yemen waingia mwaka wake wa Tano

8 Julai 2019

Miaka mitano imetimia tangu Saudi Arabia ilipoingilia kijeshi nchini Yemen, baada ya waasi wa Kihouthi kuukamata mji mkuu wa nchi hiyo, Sanaa. Vita hivyo vimeiharibu Yemen na kuwaletea madhila makubwa Wayemen, lakini bado hakuna dalili ya suluhisho katika mzozo huo wenye sura ya ushindani wa kikanda. Daniel Gakuba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati Ahmed Rajab juu ya hilo.

https://p.dw.com/p/3LlOo