Mfalme Afonso I wa Kongo aliyeshiriki biashara ya utumwa | Asili ya Afrika | DW | 23.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Mfalme Afonso I wa Kongo aliyeshiriki biashara ya utumwa

Afonso I wa Kongo mwanzoni, alishirikiana na Ureno katika biashara ya utumwa, lakini baadaye akaikataa kujihusisha nayo.

Tazama vidio 02:20