Meena Ally anayetumia habari kusaidia vijana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Meena Ally anayetumia habari kusaidia vijana

Akiwa na umri mdogo, tayari Meena Ally ameshajizolea umaarufu kutokana na utangazaji wake mahiri wa vipindi vya vijana, akitumia njia nyepesi kutoa elimu ya VVU na Ukimwi na pia kupambana na mimba za utotoni.

Tazama vidio 05:11