1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchujo wa kozi zinazofundishwa vyuo vikuu Kenya

Josephat Charo
7 Mei 2019

Tume inayohusika na elimu ya vyuo vikuu nchini Kenya imekataa kozi kadhaa ambazo hazina umuhimu wowote zinazotolewa katika baadhi ya vyuo vikuu nchini humo. Tume hiyo imekataa kuidhinisha kozi zaidi ya 100, ambazo zinatolewa hivi sasa. Katika Kinagaubaga Josephat Charo amemualika Profesa Chacha Nyaigoti Chacha, mwenyekiti wa tume ya elimu ya vyuo vikuu nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/3I40J